Serikali ya Tanzania imetangaza kuunda kamati ya pamoja ya wataalam bara na visiwani itakayoshirikisha vyombo vya ulinzi na usalama kwa ajili ya kupitiwa upya usajili uliokwishafanyika na kuzihakiki ...
Usajili wa wanajeshi wa ziada nchini Urusi ulileta pigo kubwa katika biashara. Wajasiriamali wanapoteza wafanyakazi, makampuni yanasimamisha michakato ya kazi, na wakati mwingine yanalazimika kufunga.
Wengi wanaogopa mzigo wa ziada wa kifedha, kufuatia kuanzishwa hivi karibuni kwa leseni za udereva za kibayometriki na ukaguzi wa lazima wa magari. Kutokana na utata huo, Wizara ya Fedha imefafanua ...
Ofisi za kupokea na kushughulikia maombi ya wagombea kwenye uchaguzi wa Desemba katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, BRTC, sasa ziko wazi kwa wagombea ubunge wa kitaifa. Tume huru ya uchaguzi, CENI ...
LIVERPOOL inadaiwa kumfuatilia kipa wa Aston Vila na timu ya taifa ya Argentina, Emiliano Martinez, 33, ili akawe mbadala wa ...
Baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa kwa ajili ya vilabu kufanya usajili ili kuimarisha vikosi vyao, kuuza au kuachana na wachezaji mbalimb... Vilabu kadhaa vya ligi kuu tanzania bara pamoja ...
Serikali ya Tanzania imeunda kikosi kitakachochunguza usajili wa meli za kimataifa, baada ya kukamatwa kwa meli mbili zilizokuwa zikipeperusha bendera ya taifa hilo zilizodaiwa kusafirisaa silaha na ...
Waziri wa Uchukuzi katika kisiwa hicho Rashid Suleiman Seif amesema, walitapeliwa na mawakala ambao ni wauza mafuta huko Dubai na kuongeza kuwa wameshangazwa ni vipi meli hizo 36 zimekuwa zikitumia ...